Kila wikendi usikose kupata miondoko mbali mbali kama kawaida DJ Fly Collins Odhiambo na fundi mitambo Vital Mugisho.