Tetea Mazingira Swahili Podcast

Nov 10 2023
Tetea Mazingira Swahili Podcast artwork

Tetea Mazingira, ni podcast Kuhusu usimamizi wa maliasili. Tetea Mazingira ina andaliwa na mupasha habari Daniel Makasi kutoka mujini Goma, Inchini DRC.Lengo ya Tetea Mazingira ni kuletea watu habari kamili kuhusu maliasili na kushirikisha wataalamu kwa mazungumuzo.#TeteaMazingira