Episode 2 – How to prevent the coronavirus? - Jinsi ya kuzuia virusi vya corona


Episode Artwork
1.0x
0% played 00:00 00:00
Apr 24 2020 16 mins  
Kwenye kipindi cha pili cha Ifahamu Corona tutasikia zaidi kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu kusambaa kwa virusi vya corona na jinsi ya kujikinga navyo.

In the second episode of Anatomy of Corona, MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the spread of the virus and how to prevent it.