Mkuu wa majeshi nchini Kenya akemea wanaomtaka rais Ruto aondoke
Apr 01 2025
10 mins
Mkuu wa Majeshi nchini Kenya, Jenerali Jenerali Charles Kahariri na Mkuu wa idara ya ujasusi Noordin Haji, wameonya dhidi ya kampeni inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mikutano ya hadhara ya –Ruto Must Go- au Ruto lazima aondoke, inatishia hali ya kisiasa nchini Kenya na ni lazima, ikome.
Je, jeshi la Kenya linaingilia siasa ? Tunajadili…