SOMOLAKWANZA:- CONTACTS WATSAPP: 0758600428. UTAKASOUTAKASO. NJAA NA KIU YA KUONA MATENDO YA MUNGU.


Episode Artwork
1.0x
0% played 00:00 00:00
Mar 15 2021 23 mins  
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. UNA AMANI NA FURAHA YA MUNGU ISIYOTEGEMEA KITU KIZURI AMA KIBAYA KINACHOENDELEA KWENYE MAISHA YAKO? ILI KUTOKOMEZA NA KUKOMESHA KABISA MICHEPUKO KWENYE NDOA HUDUMA YA MATENGENEZO INAANZA NA MIMI NA WEWE AMBAO NI WANAWAKE. LUKA 6: 41 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? 42 Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako. NI RAHISI SANA KUONA MAPUNGUFU YA WATU WENGINE BILA KUONA YAKO BINAFSI. WATU TUNAPENDA KUJIONA KUWA NI WAKAMILIFU (PREFECT) NA HATUTAKI KUAMBIWA UKWELI, KWA KUWA UKWELI UNACHOMA SANA NAFSI, NA NI KINYUME NA JINSI TUNAJIONA NA KUAMINI TUKO! SIKILIZA SAUTI 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾