SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE
Mar 19 2021
26 mins
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 20: 11 Ibrahimu akasema, Kwa sababu naliona, Yakini hapana hofu ya Mungu mahali hapa, nao wataniua kwa ajili ya mke wangu. 12 Naye kweli ni ndugu yangu, binti wa baba yangu ila siye mwana wa mama yangu, ndipo akawa mke wangu. 13 Ikawa hapo Mungu aliponisafirisha kutoka nyumba ya baba yangu, nikamwambia, Hii ndiy