SOMOLAKUMINASITA: CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. NAFASI ALIYOKALIA SHETANI AKIONDOKA LAZIMA UIJAZE.


Episode Artwork
1.0x
0% played 00:00 00:00
Mar 18 2021 17 mins  
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. KESI YA MAFUNZO LOVENESS STORY. MITHALI 24: 3 Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, 4 Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza. 5 Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; 6 Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. MATHAYO 12: 43 Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate. 44 Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa. 45 Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.