Miundombinu; changamoto ya upatikanaji wa nishati (umeme) Afrika
Mar 12 2025
10 mins
Wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajadili changamoto za upatikanaji wa nishati ya uhakika barani Afrika, ambapo pamoja na baadhi ya mataifa kuwa na rasilimali za kutosha kuzalisha nishati ya ziada, suala la miundombinu limeendelea kusalia kikwazo, ambapo baadhi ya mataifa yanalazimika kununua nishati toka mataifa jirani.
Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala y